3 photosUSD 1,200
House Arusha Muriet Hospital Road
Arusha Muriet hospital road, Arusha (District)
USD 2,500negotiable
Kusini Unguja, Kusini, Jambiani
Umbali mpaka Barabarani Mita 350 Umbali mpaka Beach/Pwani 🏖️ Mita 600 Kodi: USD 2,500 kwa mwezi Vyumba 8 Kodi USD 60 Kwa Siku Chumba 1 Unaweza kulipa kwa miezi 6 au mwaka 1 au Mkataba wa kuanzia miaka 3, miaka 5 au zaidi Inaruhusiwa kukodi na kufanya biashara ya kupangisha ila kwa Mkataba wa muda mrefu Inaruhusiwa kukodi na kufanya marekebisho Unayoyataka kwa gharama zako kwa ajili ya biashara Vyumba 8, kila kimoja kikiwa na bafu la kujitegemea - ❄️ Air Conditioning - ⚡ Generator ya dharura - 🍽️ Rooftop Restaurant & Bar - 🏊 Swimming Pool - 👨🍳 Jiko - 🏨 Eneo limeandaliwa kikamilifu na liko tayari kuanza kutumika Ni fursa nzuri kwa mtu anayehitaji kuendesha hotel ndogo/boutique hotel, guesthouse, restaurant & bar, au kwa ajili ya uwekezaji katika sekta ya utalii Zanzibar. Karibu sana kutembelea na kukagua eneo wakati wowote.
Kusini Unguja, Kusini, Jambiani
The advertiser has chosen to show the exact position.
USD 2,500
MB-100105